This review is from a real person who provided valid contact information and hasn't been caught misusing, spamming or abusing our website. Check our FAQ

Verified Reviewer
New Reviewer

Lini mtaamua kutambua biashara inahitaji ushawishi kwa wateja?

Mnaharibu jina na kupoteza ushawishi kwa wateja,Bei mnazo andika kwenye tikeketi ni tofauti na mnacho tutoza wateja wenu,pia hamna mpangilio mzuri mnakata tiketi gari imejaa watu wanasimama na bado mnatukana Mnajiharibia jina,acheni kufanya kazi na Madarali msio watambua mnajiharibia jina,mnagawa vitabu vyenu kama pipi?hakuna mwongozo? Badirikeni badirikeni sanaaaa
View full review
ID
#2996830 Review #2996830 is a subjective opinion of poster.
Location
Dar Es Salaam, Dar Es Salaam Region

Why Trust Reviews on PissedConsumer?

  • Professional auto and live moderation
  • 100% user-generated content
  • Equal opportunity and protection
  • Zero tolerance for fake reviews
  • Verified content

For more information read Blog article